Pages

Thursday, March 13, 2014

JUX - NITASUBIRI LYRICS

JUX - NITASUBIRI

yey yeah
mmmh...

Nakupenda baby, Nakupenda wewe eh
Ndani ya mtima wangu mamaa, uko we mwenyewe eh
Niko mbali na we, siko radhi nikukose wewe
Niko tayari wanipige mawe, Nitasubiri niwe mimi nawe

Ushanifanya niwe mantle, Hata chakula sikitamani
I wish ungekuwepo, Tucheze cheze wangu wote mwanani
 Ushanifanya niwe mantle, Hata chakula sikitamani
I wish ungewepo baby eh

Nitasubiri, usilie mama nitakuona tena
Mi nitasubiri, usikate tamaa, Najua sio mapema *2
Mi nitasubirii

Mapenzi*5
Nakosa amani, Namwoba mora we urudi nyumbani
Ufananishwe na nani, Nimemiss ulivyonipa zamani
Subira Mora amenipa, Siku ikifika ni kwa penzi lako

Ushanifanya niwe mantle, Hata chakula sikitamani
I wish ungekuwepo, Tucheze cheze wangu wote mwanani
 Ushanifanya niwe mantle, Hata chakula sikitamani
I wish ungewepo eeeeh


Nitasubiri, usilie mama nitakuona tena
NItasubiri, usikate tamaa, Najua sio mapema *2
Nitasubirii

 (Hawa ah ah ah Hawa) Nakupenda wewe
Ma baby ( hawa ah ah aha hawa)
Nitakupenda weweee (hawa ah ah ah hawa)
mamamaa (hawa ah ah ah hawa)
(hawa ah ah ah hawa)
yeeeey

Nitasubiri, usilie mama nitakuona tena
NItasubiri, usikate tamaa, Najua sio mapema *2
Nitasubirii 

Tittle : NITASUBIRI
Artist: JUX

4 comments:

  1. love it dats dedix from ma honey

    ReplyDelete
  2. naupenda sana wimbo huu kwan umeniguxa...kwa wakat huu ,,,

    ReplyDelete
  3. naupenda sana wimbo huu kwan umeniguxa...kwa wakat huu ,,,

    ReplyDelete
  4. Thanks and that i have a nifty offer you: How Long Renovate House home remodel cost

    ReplyDelete

 

Blogger news

Blogroll

About